Tuesday, January 24, 2012

UNAWAJUA WAKOMBAI WEWE!


Mwanaume mkubwa katika famili ya kabila hili huvaa mfupa puani,yaani mtu kam baba ama kaka mkubwa, pia wanaume wote huvaa bomba linalotokana na miti inayotoka huko kwao na kuvisha uume wake ili kujistiri

awanawake wa kikombai wao huvaa mkusanyiko wa mifupa shingoni kama cheni kwa ajili ya kumtambulisha kama yeye  i mwanamke pia kumpamba kama mwanamke anavyotakiwa lakini chini huvaa sketi fupi ambayo hutengenezwa kwa njuzi za mizizi, kamaba, ngozi




Wakomai hao

Watu kawaida wanaishi eneo lenye msitu mkubwa na nyuma zao huwa juu kwa urefu wa mita 30 mpaka 100 kutoka ardhini na wanajenga hivyo kwa ajili ya kujilinda na maadui zao pamoja na kutafuta utulivu kutikana na mazingira ya maisha yao

wakombai ni kabila linaloamini ka kuwa  lilipotea  na wamejulikana miaka 25 ilyopita katika misitu ya PAUPAU MAGHARIBI MWA NEW GUNIE, na inasadikika walikuwa wenge zaidi ya 4,000 mbao walisambaa kwa sababu mabli mbali na pia wanaongea lugha zinazotofautiana


Kombai ni wawindaji amambao uwinda na kutafuta chakula kwa umbali mrefu sana na vyakula wanavyokula ni watudu ,wanyama na matunda( wanakula nyoka, samaki n afunza nanguruwe , majani , ndege na vitu vya aina hizo)

No comments:

Post a Comment