Tuesday, January 10, 2012

REST IN PEACE KIPARA

Mzee kipara wakati wa kuugua



najua wengi mnamfahamu  mzee kipara,kwani licha ya kuwa waanzilishi wa kwanza kabisa wa kundi la kaole pia mtakuwa mnamkumbuka enzi hizo alipokuwa akiigiza na mzee jangala,mama haambiliki na tomato miaka hiyoo,mi nilikuwa mmojawapo kati ya mashabiki wa kubwa wa hiyo michezo ya kuigiza enzi hizo.ulikuwa hunikosi sebuleni pembeni ya RTD saa tatu na nusu ukiwasikiliza hawa wazee wakiwajibika kisanii. kutufurahisha.hata kipindi cha pwagu na pwaguzi pia walikuwa wakifurahisha sana.
Mzee kipara amefariki dunia leo kutokana na maradhi mbali mbali ambayo watu walikuwa wanatafsiri kama hali ya uzee tu.

No comments:

Post a Comment