Thursday, June 30, 2011

UNAWAJUA HAWA ?!

Huyu ni mwanamke mfupi kuliko wote Duniani, Hatice Kocaman kwa sasa ana umri wa miaka 22, ana urefu wa  inch 28 tu.

Huyu anaitwa Junrey Balawing ni mwanaume mfupi kuliko wote Duniani na amegundulika mwezi mmoja tu uliopita na kuingizwa katika kile kitabu cha guiness, ana umri wa miaka 18, na ana urefu wa  23.5 inches ambao ni sawa na  (60 centimeters).


Huyu ndie mwanaume mrefu kuliko wote  Duniani anaitwa Sultan Kosen, Ni mwana basketball kutokea huko Turkey He is 2 meters 46.5 cm tall. He also holds the record for the world’s biggest hands (27.5 cm) and the world’s biggest feet (36.5 cm).

vetlana Pankratova born August 29, 1971 in Volgograd, Russian SFSR, USSR) has, according to Guinness World Records, the longest legs of any woman in the world. her legs are 132 centimetres (4 ft 4 in) long. Because her upper body is of much more typical dimensions, she is 196 centimetres (6 ft 5 in) tall. She has also very large feet, size 13 (US) / 46 (EU.

HUU NI WAKATI MZURI KULIKO NDUGU YANGU........................

Mwanamke anapokuwa mjamzito tena kwa mara ya kwanza au hata iwe mara ya tatu kuwa mjamzito,ukweli huu ni wakati mzuri  maana kila ujauzito unavioja vyake.

Mwanaume atokee kuipenda hali yako ya uja uzito , hata kama wewe umetokea kumchukia kutokana na hali hiyo, huu wakati bado ni mzuri.

Ukibahatika kupendwa, ukipenda unaweza ukasahau matatizo yako yoteeeeeeeee..........

Kuwa huru na kuwa na penzi la kweli na lenye ushirikiano, Huruma, na uaminifu...........

Mnapopata mgeni ' miliki ' Mtoto Furahainazidi kuongezeka, Umakini zaidi, na majukumu kuyakamilisha kwa dhati ni wakati huu pia.

Kuwa na mtoto mwenye afya njema na mwenye furaha, unaweza hata ukatoroka kazini ili ukacheze na mtoto.................Asikuambie mtu nyakati kama hizi zina furaha za kweli.

NIMEIKUTA BARUA HII KWA DJ CHOKA........http://www.bongostarlink.com/






MTOTO WA VITOTO.
MY-GO-MEN,
DAR ES SALAAM,
24th 05 2011.
0715 577 628.
MWILI WA BINADAMU.
MOYO .
        Mpendwa,

                                              YAH:KUINGILIA MAJUKUMU AMBAYO HAYA KUHUSU.
                             Tafadhali rejea kichwa cha barua hapo juu,Mimi ni binadamu niitwae mtt wa vtt mkazi wa Tanzania,kwa muda mrefu nimekua nikitafuta njia sahihi ya kukufikishia barua hii lakini sijajua hadi leo hii sijui nitumie FeDex,DHL au UPS au labda shirika la posta,pia niliwaza niimeze mdomoni labda itakufikia lakini nimegundua itafika kwako ikiwa imeloa mate na hautopata ujumbe vizuri…..
                Ila dhumuni la barua hii ni kutaka kukwambia kuwa tangu nilipozaliwa                                 wewe uliwekwa kwenye mwili wangu kwa lengo moja tu la kusukuma damu mwilini kwa kutumia Left and Right ventrical pamoja na left and right Atrium,LAKINI “MOYO” mbona leo hii umejiongezea majukumu yasiyokuhusu?
             “MOYO” umeacha kusukuma damu na sasa umejiingiza kwenye suala la mapenzi kwanini? “MOYO” hata wahenga walishasema mshika mawili siku zote moja humponyoka ,sasa kwanini wewe unashika mawili?
                 Nakumbuka “MOYO” ni wewe ulimuua rafiki yangu baada ya kumfumania mkewe, ni  wewe “MOYO” uka-Panic na kusukuma damu yake kwa nguvu hatimae akapatwa presha akaanguka  chini na kufa,kwanini ulimtendea ukatili kiasi kile!!.
       Nimeamua kukuandikia barua hii sababu siku hizi naona na kwangu “MOYO” umeanza kujihusisha na mapenzi kwani imefikia hatua “MOYO” umekua unauma sababu ya mapenzi nna wasi wasi na mimi utakuja kuniua.
                “MOYO” kwanini usitulie kama wenzako ini na Figo na ukafanya      kilichokuleta mwilini kwangu,mbona una tamaa hivyo lakini?
Nakuomba suala la mapenzi plz “MOYO” liache kwa ubongo wenyewe ndio utajua umpe nani jukumu hilo na wewe uendelee na kazi yako ya kusukuma damu tu mwilini maana hyo ndio Proffesional yako.
                   Nadhani ombi langu utalifanyia kazi………
                                                                                                                  
                                                                                                                 Wako mtiifu..
                                                                                                                              MWV
                                                                                                                     Mtoto wa vitoto

Tuesday, June 28, 2011

NGOJA LEO NIKUPE TOFAUTI NDOGO KATI YA KABILA LANGU LA KIMASAI NA MAKABILA YANAYOFANANA NA WAMASAI

Hawa ni wamasai Original wa Tanzania- Arusha

Hawa ni wa Hadzabe nao pia wanapatikana Arusha,hawa sasa asili yao kama kina Makirikiri na huvalia ngozi zaidi na shanga

Hawa ni wa Barabaig  na wenyewe wanapatikana Arusha

Hawa ni wa Karamajong ni jamii ya wafugaji na wanapatikana Uganda zaidi, Tofauti yao ni Shanga wavaazo, Heleni, na migolole yao

Hawa ni wa Samburu Tokea kenya lakini ni Masai vition two, Hata lugha wanasikilizana na masai

Hawa ni Wasandawe nao pia Arusha

Hawa ni wa tegota maarufu kama Mang'ati wanapatikana Arusha , hawa wasandawe na wahdzabe ni ile jamii ya wanaokaa chini kwenye handaki ndio maisha yao yalivyo, usichezeee hawa ni hatari.
                                          KAMA UMEIPENDA TUTAENDELEA

HAWA WATU UKIWAANGALIA KWA HARAKA KAMA WANAFANANA VILE

BORIS -ni mmoja kati ya mwana Hollwood

IAN DIALO- ni mmoja kati ya mwana Eatv & Radio

UZURI HALISI HUU

BELLE

TY BELLO

BORIS

Monday, June 27, 2011

2Face & D’banj win the Best International Act (Africa) award at the 2011 BET Awards

                                                      
                                                                        2FACE
                                                      
                                                            D'BANJ

Thursday, June 23, 2011

SAFARI YA MWISHO YA MPENDWA WETU ETHEL JAMES

                                  Siku ya jumapili tulipokwenda kupokea mwili Air port ( Rehema, Bhoke, Dorah)

                                                 Mwili wa mpendwa wetu ulipo wasili

                                        Siku ya jumatano Nyumbani kwa mzee James

                                         Ndugu na jamaa wakiaga mwili wa Ethel nyumbani

Kanisani, familia ikipokea sakarament siku ya ibada ya mwisho
                                             Baba Ethel, Mr James, Mama Ethel, Vick, na Kaka Ethel Kelvine, wakitoa shukrani na maneno ya mwisho kwa waliohudhuria mazishi.

                                     Mwili ukitolewa kanisani kuelekea makaburini kinondoni.



                                        Mama wa marehemu akiweka udongo wa mwisho.



                                                          Mary aliishiwa nguvu kabisa
Allan, Halima, wakiweka shada za mauwa


MWANA DADA SARAH A.K.A SHAA KU PERFORM BIG BROTHER WEE END HII

                                                 Itakuwa ni siku ya jumapili wakati wa mchujo

                                                               Ni live perfomance itakuwa

Wednesday, June 22, 2011

DROGBA NA TRADITIONAL WEDDING



NYAMBU

                      Kiukweli wanawake hawa hawanivutii machoni kabisa sijui kwa nini

                Yaani hata makeup wakapakie huko huko kiwandani lakini hawavutiii kabisa machono pangu
                            naomba mnisamehe tu.

Saturday, June 18, 2011

DAIMA TUTAKUKUMBUKA KIPENZI CHETU ETHEL JAMES

        Eatv na Earadio tumepata msiba mkubwa wa kuondokewa na mfanyakazi mwenzetu Ethel James


                 Ethel alikuwa akisaidiana na Dominic Nyalipha katika kuhakikisha Enews ipo hewani

              Na hivi karibuni alikuwa akisaidiana na Deo katika kuhakikisha Nirvana inaeleweka

          Lakini pia yeye ni assistance producer katika kipindi cha FNL,EATV hakika tumepata pigo

YOUR OUR SISTER, FRIEND, WE ALWAYS LOVE AND MISS YOU ETHEL, AMIN.