Thursday, June 30, 2011

HUU NI WAKATI MZURI KULIKO NDUGU YANGU........................

Mwanamke anapokuwa mjamzito tena kwa mara ya kwanza au hata iwe mara ya tatu kuwa mjamzito,ukweli huu ni wakati mzuri  maana kila ujauzito unavioja vyake.

Mwanaume atokee kuipenda hali yako ya uja uzito , hata kama wewe umetokea kumchukia kutokana na hali hiyo, huu wakati bado ni mzuri.

Ukibahatika kupendwa, ukipenda unaweza ukasahau matatizo yako yoteeeeeeeee..........

Kuwa huru na kuwa na penzi la kweli na lenye ushirikiano, Huruma, na uaminifu...........

Mnapopata mgeni ' miliki ' Mtoto Furahainazidi kuongezeka, Umakini zaidi, na majukumu kuyakamilisha kwa dhati ni wakati huu pia.

Kuwa na mtoto mwenye afya njema na mwenye furaha, unaweza hata ukatoroka kazini ili ukacheze na mtoto.................Asikuambie mtu nyakati kama hizi zina furaha za kweli.

No comments:

Post a Comment