FAHAMU ZAIDI

                                             HAKUNA MAPENZI YA LAZIMA JAMANI

Mwanaume mmoja'Aliyeshikwa nyuma ya picha' amemfungia mke wake kwenye chumba alichomwaga petroli na kuwasha mshumaa ili kumuua mwanamke huyo baada ya kudai talaka Christopher  Hanney 46, cha kushangaza na cha ajabu kama mmeshindwa kuelewana basi ni vyema mkaachana kwa usalama kuliko kufanya mambo ya ajabu kama haya , maana kama umekataa kuacha unampenda na sasa mbona unataka kuua? mapenzi hayalazimishwi jamani................




Wanawake walio wengi hawajui namba za magari yao, ni kitu cha kushangaza ,kidogo lakini ni muhimu sana ila ukweli ndo huo, wanawake ufahamu magari yao kwa alama tu kwa mfano kama aliichubua hiyo ndo itakuwa alama yake, ama kama ina 'tintedi' na ikitokea akajua namba basi ata jua T...WHD namba za kati hazijui na akijua namba za kati herufi hazijui

Ukija kwenye swala   service ya gari pia mpaka akumbushwe na mume, kaka ama mtu wa karibu sana ambaye lazima utakuta ni mwanaume bisha au kubali ila ndo iko hivyo

Kitu kama maji pia anaweza asijue kama gari yake ina maji au haina au hata pa kuweka hapajui na maji anayo ya akiba ndo utakuta anamsimamisha kijana mpita njia kumsaidia na kumlipa

Yaani haya mambo ya magari huleta stress kweli kwa kinadada hasa inapopmgomea ghafla.....