Wednesday, September 28, 2011

HAWA NDO NAWAFEEL ILE MBAYA KWENYE MEDIA SASA HI VI KWA UPANDE WA TV

Fatma Almasi Nyangasa wa ITV

Godwin Gondwe wa ITV

Zamaradi mketema wa CLOUDS TV

Ivon Msemembo wa ITV
Na wengine ni Enock mwijane wa TBC pamoja na Joan Itanisa wa STAR TV, hawa nimeshindwa kupata picha zao.
Kiukweli hawa wanaivutia kwa kazi zao na muonekano wao, unapoangalia vipindi vyao unajua nini wanafanya kwa kuwa wanakupa information za kutosha na za kueleweka, wanajiamini kupitiliza wanapendeza yaani hawa nawakubali kiukweli.
NOTE: Wapo wengine ninaowakubali lakini sijaweweka kwa kuwa ni sehemu ninayofanyia kazi watu wasije ona napendelea bure.......................nitakuletea na wa redio kwa siku nyengine.

2 comments:

  1. plz give ze list which u believe in it ache yoga

    ReplyDelete
  2. wacha mambo zako weweeee! si utoe tu hiyo listi... ni jinsi unavyojisikia.. na ni mtazamo wako! so kwanini tuone unapendelea? kama ni hivyo basi katika hii listi unapendelea ITV! alaaah! tupe majina hayo tutathmini dada carl!

    ReplyDelete