HABARI



                              RIHANNA NA CHRISS BROWN WAMESHIRIKIANA
Waliokuwa wapenzi, Rihanna and Chris Brown  wameshirikia  katika nyimbo zao  mbili mpya two new tracks.  moja kati ya nyimbo hizo ni remix za wimbo wa Rihanna  unaoitwa - Birthday Cake  na mwengine  ni mpya unaoitwa misicand the Turn Up the Music.



                                     DIDY AZINDUA TV CHANNEL YAKE
Channel yake hiyo inaitwa Revolt  na itazinduliwa rasmi  mwaka  2013. Revolt  inalenga kuonesha  vipindi vya mziki, habari za mziki  na inalenga kuwa na watazamaji wa  Africa-America
"Nukuu"
I’m thrilled to be at the helm to usher in a completely new model of television that brings together the artist community, social media, and cutting edge technology. The opportunity to create a home for music, artists, and fans to communicate in an authentic way is truly unique. REVOLT will celebrate and recreate the platform that helped launch my career, and give the world a new way to experience music on television.



                                    ZAMBIA SHANGILIA USHINDI UNAKUJA

Yaitwa shangilia ushindi unakuja!

Timu ya taifa ya soka ya ZAMBIA imekua BINGWA WA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA 2012, ushindi ambao umepatikana kwa penat dhidi ya Ivory Coast. kulikua na uwezekano mkubwa wa Ivory Coast kushinda baada ya Didier Drogba kukosa penati iliyotolewa kabla ya dakika 90 kumalizika.

Wachezaji wa Zambia wakiwa wamembeba kocha wao.




                                      STELLA MWANGI AFIWA NA BABA YAKE MZAZI

Stella akilia

Stella na baba yake

A memorial service was held at Red Cross Court in the Norwegian capital over the weekend in honour of Stella Mwangi's father who was killed in a hit-and-run incident mid last week.
Distraught family members, friends and well wishers filled the hall as they bade farewell to 54 year old Jeff Mwangi Kwirikia. Police finally caught the driver of the sedan that knocked Jeff off his bike, a 39 year old man, who turned himself in and admitted to being involved.
Leading Norwegian newspaper, VG reported yesterday that the family was going through a tough time with coming to terms with the fact that their father was gone.




MH JAKAYA MRISHO KIKWETE AUDHURIA SHEREHE ZA SIKU YA SHERIA NCHINI


Raisi Jakya Mrisho kikwete akisalimiana  katika Viwanja vya Mahakama Kuu Jijini Dra es salaam Leo februari 03na kupokewa na jaji mkuu Mh.Mohamed Chande Othuma nyuma yake, Spika Anna Makinda

Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia kalenda aliyozawadiwa na jaji mkuuMh.Mohamed Chande Othuman baada ya kuhutubia katika siku ya Sheria Tanzani .


Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika maadhimisho ya siku ya sheeria Tanzania tarehe 3 Februari




TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE TANZANIA TWIGA STARS WATEMBELEA BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI VYA IPP


Mmoja kati ya wachezaji ndani ya studio za Capital TV

Wakipata maelezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa EATV

Hapa walipoingia kwenye stidio za EA RADIO wakati Zembela na Baruti wakiendelea na kipindi chao cha Supe Mix

Na  waliendelea mpaka studio za Radio One wakati kipindi cha Yaliyomo Yamo kikiendelea

Hapa ndani ya Studio ya habari ya ITV

Hapa wakiwa ndani ya studio ya EATV

Kocha wa Twiga stars Mkwasa akiongea na Steve Chuwa ndani ya chumba cha Habari ITV





                                   
                                                   MAMBOYA NIGERIA HAYA



IGP,hafiz Ringim wa Nigeria ameamua kujiuzulu kutokana na migogoro inayoendelea nchi mwao, IGP huyo ameandika barua ya kujiuzulu asubuhi ya leo na kufuatiwa na wakuu  wengine sita wa serikali.




DRUGS, ALCOHOL & HIV – TONTO DIKEH NDAYA YA 'MY LIFE MY DAMAGE'


Mzigompya huo hapo kwa wanaopenda movies za Nigeria na inamafunzo mazuri tu kwa sisi vijana wa kisasa