INAKERA

                                      KIUKWELI NI HOVYO,NYAMBU,HAINA MAANA

Hata kama kiingiiacho mjini ni fashion  haitakiwi kupitiliza, mwana mama mkubwa kama huyu kuvaa hivi maziwa wazi ndio inamaana gani hasa? haya mambo yanatakiwa kufanywa na vijana waliopotoka na wala si watu wa umri huu,picha hii nimeitoa kwenye blog moja ya shughuli shughuli lakini hata kama ni shughuli za wanawake si hivi inavyopasa, maana lengo ni kumfundisha binti hekhima na busara sasa ukimjia uchi ndo unamaanisha nini?  si kila kitu kinafaa kwa kila mtu jamani eeeh!





                                          KAMA POMBE HUZIWEZI ACHA TU

Pombe ni zuri kama unaimudu,na pia usimnywe mpaka ukapitiliza jaribu kuishinda na usiruhusu ikushinde tafadhali, kunywa gani huku mpaka unadhalirika jamani! jiheshimu wewe mwenyewe lakini kama unashindwa kujiheshimu wewe heshimu familia na jamii inayokuzunguka maana wao ndo wanaumia zaidi kutokana na matendo yako.