Monday, January 30, 2012

SWEET SIMPLE FOR SIMPLE LADIES





      MEENA THE BRILLIANT KIKA.............REALLY IN LOVE NA DRESS YAKE





VAA KULINGANA NA MWILI WAKO


Marygoreth Richard: THE HELP TRIUMPHS AT SAG FILM AWARDS!!

Marygoreth Richard: THE HELP TRIUMPHS AT SAG FILM AWARDS!!: Viola Davis was overcome with emotion when she accepted her award Viola celebrating with Octavia backstage The Help: Octavia Spen...

HAKUNA MAPENZI YA LAZIMA JAMANI

Mwanaume mmoja'Aliyeshikwa nyuma ya picha' amemfungia mke wake kwenye chumba alichomwaga petroli na kuwasha mshumaa ili kumuua mwanamke huyo baada ya kudai talaka Christopher  Hanney 46, cha kushangaza na cha ajabu kama mmeshindwa kuelewana basi ni vyema mkaachana kwa usalama kuliko kufanya mambo ya ajabu kama haya , maana kama umekataa kuacha unampenda na sasa mbona unataka kuua? mapenzi hayalazimishwi jamani................

HII INAUKWELI WA KUTOSHA TU

Wanawake walio wengi hawajui namba za magari yao, ni kitu cha kushangaza ,kidogo lakini ni muhimu sana ila ukweli ndo huo, wanawake ufahamu magari yao kwa alama tu kwa mfano kama aliichubua hiyo ndo itakuwa alama yake, ama kama ina 'tintedi' na ikitokea akajua namba basi ata jua T...WHD namba za kati hazijui na akijua namba za kati herufi hazijui

Ukija kwenye swala   service ya gari pia mpaka akumbushwe na mume, kaka ama mtu wa karibu sana ambaye lazima utakuta ni mwanaume bisha au kubali ila ndo iko hivyo

Kitu kama maji pia anaweza asijue kama gari yake ina maji au haina au hata pa kuweka hapajui na maji anayo ya akiba ndo utakuta anamsimamisha kijana mpita njia kumsaidia na kumlipa

Yaani haya mambo ya magari huleta stress kweli kwa kinadada hasa inapopmgomea ghafla.....

HESHIMA KWA DADA ZETU TWIGA STARS


Kikosi cha tamu ya Taifa ya wanawake Tanzania Twiga Star's katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao na timu ya namibia wa kufuzu fainali za kimaaifa Afrika kwa wanawake uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa wa Tanzania Jumapili.

Hii ndo inaitwa shangilia ushindi unakuja.........

Mwanahamisi omari akiwa makii kazini...........

Kaba nikukabe hii, ili ushindi ubaki nyumbani TZ

Peace and love kwa mashabiki

Sunday, January 29, 2012

HII NI NGUVU YA VIPODOZI




























kataa ama ukubali,ukitaka kujua uzuri wa mtu ni wakati ambapo hajapaka kitu chochote cha kumfanya aonekane vizuri zaidi kama , kama zilivyo picha hizi kabla na baada ya kupaka vipodozi.

LADIES IN RED