Friday, January 13, 2012

MZIGO MPYA HUU HAPA 'GOOD DEEDS'


Tylre Perry ameshatengeneza movie mpya inayokwenda kwa jina la GOOD DEEDS ambayo itazinduliwa rasmi tarehe 24 mwezi wa pili hivyo kwa wale wapenzi wa movies zake kama mimi mkae tayari
Kuna wakali  wigizaji ambao hufanya vizuri siku zote na wenye majina kama ambavyo unaoona baadhi ya picha hapo na kiukweli itakuwa nzuri maana nimebahatika kuangali baadhi ya vipande vilivyoko kwenye movie hiyo.

No comments:

Post a Comment