Wednesday, January 25, 2012

MAMBO YA NIGERIA HAYA


IGP,Hafiz Ringim wa Nigeria ameamua kujiuzulu kutokana na mambo na migogoro inayo endelea nchini mwao,IGP ameandika barua ya kujiuzuru leo asubuhi akifuatiwa na wakuu wengine sita

No comments:

Post a Comment