Monday, January 23, 2012

AAMUA KUMUOA MAREHEMU MCHUMBA WAKE

Mwanaume mmoja nchithailand ameamuo kuoa maiti,ya aliyekuwa mchumba wake katika siku ya mazishi  ya mwanamke huyo,alimvisha pete ya ndoa mwanamkehuyo aliyefarikiambaye alikuwa mpenziwake kwa miakakumi

Inasemekanawalipanga kufunga ndoa na taratibu zilikuwa zimeshaanza ilamwanamke akafariki kwa ajari kablaya tarehe yaoya harusi kupangwa

Hata hivyoinasemekanabwana harusi alikuwa akimpenda ili hakuwa akimtendea vizuri mchumba wake, hivyoaliamua kumuoa akiwa maitiili kuonesha kuwa alimpenda na kumuheshimu kwa ndugu jamaa namarafiki wa pande zote mbili



Kamsook ( mume) and Anne( mke)


1 comment: