![]() |
| Cynthia Masasi , Mwanadada asiyependa kujiweka nyuma kabisa kimaendeleo ambaye ni , Actress, model " face of East Africa, Video girl pia. |
![]() |
| Na pia ni mjasilia mali, anabiashara ambazo anafanya kujiongezea kipato |
![]() | ||
| Super model mwengine ni Huyu hapa Flaviana Matata |
![]() |
| Picha hii ni moja kati ya kazi ya uanamitindo |
![]() |
| Na hii ni picha ya Born this way " wimbo wa Lady Gaga" ambapo Flaviana yumo, sijaipata vyema picha yake ila unaweza ukaangalia hiyo video kwa umakini utamuona |
![]() |
| Cynthia masasi kama anavyo onekana |







No comments:
Post a Comment