Monday, August 15, 2011

KWENDA NA FASHION SIO LAZIMA UVAE NGUO ZINAZOKUACHA UCHI


Unatakiwa kujua kwenda na wakati au Fashion sio lazima wewe kuvaa nguo zinazokufanya uonekane upo uchi, unaweza ukavaa nguo nzuri tu ndefu ama fupi kiasi ili kuonekana unajiheshimu wewe mwenyewe kabla haujaheshiminwa na watu wengine.

Maana utakuta mtu amevaa, matiti ama kalio yote yapo nje Asa ndo nini jamani! kama huna kwenu!?
Jiheshimu basi mwana dada mwenzangu, na ujue kwamba si kila mtu anavutiwa kuangalia  sehemu zako ambazo astahiri kuziona.

No comments:

Post a Comment