Monday, August 22, 2011

BAADA YA SAFARI ZA KIMAPENZI NYINGIIIIIII KIM SASA NI MKE WA MTU

Kim na baba yake Bruce akipelekwa eneo rasmi la kufungia ndoa

Mambo yalikuwa bam bam tu kwa kina Karadashian sisters

Mwanzoni alichagua hii nguo kuivaa siku ya Harusi cjui ikawaje tena

Kama mdori vile


1 comment:

  1. sio kama mdori.....ni mdoli wa kim k huo, umetengenezwa kwa wax. na hakuwa amechagua hiyo nguo before... wabunifu walipendekeza avae hivyo

    ReplyDelete