Friday, August 19, 2011

PENGINE KUJIITA JINA LA MNYA HUYU NDO KUMEMVUTIA NA KUFANYA ALIYO YA FANYA

Huyu ni kinyonga ( CHAMILION ) ndiye mnyama pekee anayebadilika mara kwa mara kutokana na mazingira anayokuwepo, ila wataalam husema anafanya hivyo kwa ajili ya security

Lakini huyo aliyetupia lemba hapo kulia ni bwana Gadaffi anaye tambulika kama Joseph alipokuwa anabadili dini

Chamilion ( kinyonga)  aliye amua kurudi kwenye dini yake ya zamani ya kikristo baada ya kukaa masaa 98 ya Uislam, na amefanya hivyo kwa Security pia maana ndugu jamaa na marafiki walimtenga akaona isiwe tabu............kuhusu imani anajua yeye mwenyewe.

No comments:

Post a Comment