Wednesday, December 21, 2011

HALI SI SHWARI JIJINI DAR ES SALAAM

Baadhi ya maeneo ya jiji leo yanaonekana hivi kutokana na mvua zinazo endelea kunyesha

Na hii inagusa watu wote wenye magari ha hata watembea kwa miguu

Ikiendele hivi kwa siku mbili zaidi mh!






Tuesday, December 20, 2011

Monday, December 19, 2011

IS THIS TRUE?!

Women give sex to get love and men give love to get sex.

JUMAMOSI TULIPATA MAFUNZO KIDOGO KATIKA KUJIKUMBUSHIA MAMBO MUHIMU YA KAZI YETU





IJUMAA NILITOKELEZEA PANDE ZA SUNRISE BEACH KWENYE PART YA STEPS ENTERTAINMENT


                                              mambo yalikuwa hivi kwenye upande wa burudani
wahudumu walitupia kipwani zaidi, Chezea wao!

hii ilikuwa sehemu maalum ya kupiga picha, ukiingia tu unapata picha

unadhani natweet?

wasanii walipata tuzo za heshima kutoka steps entertainment

Michael Jackson alikumbukwa kwa upande wa burudani












                                                           Poa ni hayo tu wajameni

KAKAKUONA

Huyu ni mjama anayeonekana kwa nadra sana nimeambiwa pia  ikionekana anaoneka kwa sababu fulani.

Nilikua namuogopa balaa, huyo baba alikuja nae ofcn kwetu kwa ajili ya habari anasema amemkuta kwenye bustani nyumbani kwake, yaan hata amuogopi

Na akaniambia akioneka huwekewa vitu vingi ili achague kwa mfano mai, mahindi, panga .......akichagua maji inamaana huo ni mwaka wa mvua nyingi, lakini hakucha gua chakula wala maji..........balaa tupu cjui kasusa!