Monday, December 19, 2011

KAKAKUONA

Huyu ni mjama anayeonekana kwa nadra sana nimeambiwa pia  ikionekana anaoneka kwa sababu fulani.

Nilikua namuogopa balaa, huyo baba alikuja nae ofcn kwetu kwa ajili ya habari anasema amemkuta kwenye bustani nyumbani kwake, yaan hata amuogopi

Na akaniambia akioneka huwekewa vitu vingi ili achague kwa mfano mai, mahindi, panga .......akichagua maji inamaana huo ni mwaka wa mvua nyingi, lakini hakucha gua chakula wala maji..........balaa tupu cjui kasusa!

No comments:

Post a Comment