Wednesday, January 11, 2012

BRANDY & MONICA PAMOJA TENA




Brandy and Monica sasa wameamua kurudi studio kwa pamoja baa da ya miaka kumi na nne(14) baada ya kupanda chart miaka ya nyuma na kibao chao ca THE BOY IS MINE
 Wawili hao wal;ikutana Miami wki iliyopita na kurecord nyimbo yao mpya itakayo julikana kwa jina larecord  “Turn the Lights On

No comments:

Post a Comment