Friday, January 13, 2012

HII NDO MAMA WA KAMBO SI MAMA AU?!


Lile timbwili linaloendelea ma Khole Karadashian  na mama yake wa kambo,Jan Ashley sasa limepamba moto kutokana na mama mzazi wa Khole ( pichani) Jenner, kuingilia  suala hilo.

Mama wa kambo wa Khole ameibuka na kusema kuwa  Khole si mtoto wa damu wa  Marehemu Robert Karadashian ambaye alikuwa mume wake baada ya mama yao kina Khole kuachwa, na anasema kuwa hata ukiwaangalia nduguzake na Khole hawaendani kabisa

Kwamba , Khole ananywele nyekundu umbile kubwa na haendani kabisa na ndugu zake,Mama mzazi wa Khole ana sema " nimechukia na kuchukia na kuchukia,sijawahi kusikia ujinga kama huu mashani mwangu,mimi ndiye nilikuwa mke wa Robert, nimepata mimba na kuzaa kwa robert na mimi ndo najua Robert ndiye baba mzazi wa Khole.

Jenner amesema, Ashley amechukulia advantage utani wa khole  katika familia yao  wa kuwanyofoa nywele na kuchukua baadhia ya vitu na kusema kuwa ataenda fanya DNA maana anaona yuko tofauti na wenzie 




Jenner na binti zake

Khole ( kulia) na dada zake

Robert karadashian , kaka yao na kina Khole
Aidha ashley alipohojiwa na chombo kimoja cha habari alisema hivi: Khole si mtoto wa marehemu mume wangu maana mumewangu aliniambia tulipofunga ndoa.................

"Khloe is not his kid -- he told me that after we got married," Ashley told Star Magazine. "He just kind of looked at me and said [it] like it was a matter of fact. He said, 'Well, you know that Khloe's not really a Kardashian, don't you?' And I said, 'OK,' and that was it."

No comments:

Post a Comment