Wednesday, January 11, 2012

PRECIOUS IVY


Huyu ni mwanadada Nohle Thema, ambaye alikuwa ni balozi wa Dark & love na  pia aliyekuwa mtangazaji wa Channel O  na akachukuliwa na VUZU TV,ila kwa sasa mwanadada yupo Hollywood akipiga mzigo huko.
Nimependa jinsi alivyo mbali na mafanikio yote aliyonayo lakini bado anapiga na maisha kwa njia tofauni kwani sasa amezindua manukato yake yanayojulikana kama PRECIOUS IVY ambayo nayo yanamuingizia hela kwa wingi.
                           Manukato yenyewe ndo hayo hapo,ameweza kwa nini wewe au mimi  tushindwe?
                                      Picha hii yaweza kukufanya umkumbuke kwa haraka zaidi.

No comments:

Post a Comment