Friday, January 13, 2012

MWANAMKE ALIYEZALIWA NA NYUKE MBILI

Hazel Jones, ni mwanamke mwenye umri wa  miaka 27 ni mwanamke aliyezaliwa na uke/nyuke mbili anasema amepoteza bikira zake mbili yaani mara mbili kutokana na maumbile yake tofauti ilivyo kwa wanawake wengine. hata hivyo amesema haono aibu wala hajutii maumbile yake zaidi ya kufurahia hali hiyo
The condition means a woman has two separate uteruses, two vaginas and two cervixes. It happens when a septum which usually breaks down between two tubes that form the uterus does not break down, leaving two uteruses.

No comments:

Post a Comment