Mzazi hasa mama ndiye mwalimu pekee
wa kweli na wa uhakika kwa mwanae akifuatiwa
na ndugu jamaa na marafiki lakini mama huyu sijaelewa
anafundisha nini kwa mwanae!
Kumbe kunawatu wamekosa busara wao lakini
wanataka mpaka watoto wao duh!
Watu wa hivi ndo wanakuaga na familia mcharuko,
MWENYEZI WAKUZE KATIKA MAADILI NA NGUVU YAKO WATOTO HAWA.
No comments:
Post a Comment