Wednesday, June 15, 2011

BAMBO APATA AJALI MBAYA

 Msanii wa sanaa ya uchekeshaji Dickson Makwaya " Bambo" amepata ajali mbaya ya  kugongwa na gari akiwa katika pikipiki maeneo ya Kigogo Mbuyuni jana usiku, Hali ya msanii huyo si nzuri sana na ameumia sehemu kubwa ya mwili wake na amevunjika mfupa wa paja, Amelazwa wodi ya wagonjwa wa mifupa MOI na anatarajiwa kufanyiwa upasuaji asubuhi hii...............Mungu amsaidie arudi katika hali yake ya zamani.

No comments:

Post a Comment