Thursday, June 16, 2011

TABIA HIZI HAZIFAI MBELE YA HADHARA

                                                Usafi wa masikio unatakiwa uufanye bafuni ukiwa unaoga  ama chumbani unavaa peke yako au na mtu wako wa karibu zaidi, sio mbele za watu bila kujali mazingira uliyopo, HAIPENDEZI.

    Tabia  nyingine mbaya ni hii, Utakuta  mtu anachokonoa pua mpaka unayemuona unajisikia vibaya, au unamuongelesha yeye yuko na pua sijui ni kutojiamini au ni vipi.

   Ebu hona huyu naye, watuwengine midomo inanuka lakini wamekalia kujichokonoa tu ..................

No comments:

Post a Comment