Friday, July 1, 2011

WANAFUNZI BORA WALIO HITIMU FORM SIX 2011 WATAMBULISHWA RASMI BUNGENI

Muhagachi Chacha  (TANZANIA ONE )
Wanafunzi bora 20 wa form six 2011,wametambulishwa bungeni leo rasmi wakiambatana na wazazi na walizi wao, Pia walimu wao wa shule walizotoka
    Mbali na hayo wanafunzi hao wamekabidhiwa zawadi za vyetu, Laptop na shiringi laki moja na nusu kwa kila mmoja wao na walimu wao pia, na kwa kila shule watapata zawadi ya cheti na shilingi  million moja, lakini kwa shule za kata wataongezewa zawadi za Meza za Maabara na shilingi laki Tano, Huku wakiandaliwa Sherehe maalum ya kuwapongeza baada ya kikao cha bunge cha leo.

  Wanafunzi hao ni
Muhagachi Chacha from Kibaha Secondary School
Samwel Katwale from Mzumbe Secondary School 
 Amiri Abdallah from Feza Boys Secondary School.
Aron Gerson (Tabora Boys), 
Shaban Omary (Tabora Boys),
Kudra Baruti (Feza Boys),
George Assenga (Majengo),
Comman Nduru (Feza Boys), 
Francis Josephat (Tabora Boys)
George Felix (Mzumbe).
Doreen Kabuche (Benjamin Mkapa),
Rahab Mwang’amba (Kilakala),
Mary Moshi (Kifungilo Girls),
Nuru Kipato (Marian Girls),
Zainabu Hassan (Al-Muntazir Islamic), 
Catherine Temu (Ashira),
Athoni Lugomo (Usongwe),
Cecilia Mville (Kifungilo Girls),
Mariam Matovolwa (Kilakala)
Suzana Makoi (Tarakea).

No comments:

Post a Comment