Tuesday, July 26, 2011

MONALISA CHINDA AFUNGUKA JUU YA NDOA YAKE

Monalisa ni muigizaji maarufu nnchini Naigeria na anajulikana Africa nzima kwa ujumla kwa wale wapenzi wa  filamu za Nigeria

Monalisa akiwa na mtoto wake,amefunguka juu ya ndoa yake katika chombo kimoja  cha habari nchini Naija...............nukuu chini alipokuwa anafunguka
            
Kiukweli sipendi kuongelea kuhusu maisha yangu ya ndoa, lakini kama ni kweli inabidi niongelee ( kutokana na swali aliloulizwa) sijaondoka kwenye ndoa yangu kiukweli  nimeikimbia kabisa, na kusema kweli namuheshimu  aliyekuwa mumewangu kwa kuwa ni Baba wa mtoto wangu,tena kwa manufaa nahitaji kuwa mwangalrifu hata kwa maneno yangu nayotumia katika mahojiano haya, kufeli kwa ndoa yangu  kulinifanya niwe mbali kambisa na hali yangu ya kawaida, na haukuwa muungano wa kawaida ( ndoa )

Kulikuwa na kesi za mara kwa mara za matendo ya kujeruhiana, na nitakuwa mjinga nisipoliweka hili wazi kwamba kulikuwa na kesi za kuumizana na kulaumiana kwa upande wangu,kutokana na kiwango kikubwa cha kuumizana, nilifikia kukasirika kama vile mwendawazimu hali ilikuwa mbaya kihasi hiko,Tulikuwa kama simba wanaowindana  na nikaona maisha hayo hayana mwisho hivyo nikaamua kukimbia ndoa mnamo Jul 10,2009.

No comments:

Post a Comment