Friday, July 15, 2011

BIG BROTHER LADIES HAWA

Comfidence- Huyu dada ni mtu mzima lakini ni mwehu tu kwa kweli na hata Ghana walijiuliza kama ataweza kuiwakirisha nchi yake vizuri maana  lakini alifanikiwa kwa namna moja ama nyengine  lakini kiukweli mwehu ni mwehu tu.

Habari ndo hiyo

Karen - huyu ni mjasilia mali kabisa maana hamna cha zaidi cha kuzungumzia hapa.

Umeona eeeh!

Weza- Huyu ni model na hata picha hii aliipiga akiwa katika mambo yake ya kikazi ( usiogope )

No comments:

Post a Comment