Thursday, July 28, 2011

NIMEACHA KUVUTA BANGI_2FACE IDIBIA

Amefanya mahojiana na YES MAGAZINE,na akaamua kufunguka juu ya mambo kibao yanayomuhusu moja kati ya mambo hayo ni tabia ya kuvuta bangi

Sikuwah kujaribu kuvuta cocaine / heroine  ila nilikuwa nikivuta bangi zamani, na sikuwa naivuta kwa kiasi kikubwa nilikua naivuta kidogo kwa starehe tu na nikaona Bangi sio nzuri kwangu na nikaacha miaka kadhaa iliyopita, haikuwa raisi kuacha ila ilinibidi kujilazimisha mpaka kuacha, Unajua mguvu nyingi za vijana zinajisukuma kwenye mambo kama hayo ya mabangi na madawa mengine ya kulevya.katika kipindi chote hiko nilikuwa nasikiliza mziki kama" ROLL DOWN" the street smoking song na nyimbo za hivyo zilikuwa na ushawishi na nikashawishika kujaribu ,na nawashauri wanamuziki wenzangu si vyema kuandika nyimbo zenye kusifia Bangi.  
KAMA  2FACE AMEWEZA KUACHA KUVUTA BANGI , NA WEWE UNAWEZA KUACHA, NDIO UNAWEZA KUACHA, BANGI NOMA                                                                                                                                             

No comments:

Post a Comment