Friday, July 1, 2011

CINDY SANYU AJIFUNGUA

                                             CINDY SANYU

 
Artist toka Uganda,Cinderella Sanyu aka Cindy na 'mtu wake' Mario Brunette kwa sasa wako kwenye furaha baada ya kupata mtoto wa kike aka baby girl
Cibdy ameungana na wasanii toka kundi la Blu3,Mya na Lillian waliopata watoto na Cindy alitupia kwenye mtandao wa Facebook... "Thanks be to God, my baby girl finally arrived"

No comments:

Post a Comment