Wednesday, July 20, 2011

HAPPY BIRTHDAY TO ME

Leo najumuika na  ndugu jamaa marafiki katika Kuwapa sapoti wazazi wangu kwenye siku kama ya leo walipo nipata mimi rasmi.

Namshukuru mungu na kumuomba anijaalie mengi na meme zaidi siku zote za maisha yangu.

1 comment:

  1. lakin ungetuambia mapema tuandae ambulance,inaonekana mama alipata tabu sana..mtt mwnyw c unajijua?

    ReplyDelete