Tuesday, May 28, 2013

WAMASAI WANAITA ENDUTUNYO, MAMBO YA UNYAYO HAYO

Mnyama unyamani yaani na pembe lake chezea
Hot fashion now, kitu kama cha batiki hivi
kama treni vile ukiumie umejigongesha mwenyewe
Two in one
ukikivaa ndo unakielewa zaidi

No comments:

Post a Comment