Thursday, May 9, 2013

DAIMA KUMBUKA WATU WA HAINA HII

Siku zako zote za maisha yako, katika hali ya furaha na Huzuni mkumbuke aliye kukumbuka na kukusaidia wakati amabao ulikata tamaa, uliumwa, ulifirisika,  (uliokuwa mgumu) maana huyo ndio ndugu na rafiki yako wa kweli kati ya ulionao, na inakubidi umkumbuke ili uweze kutenda sawa sawa na zaidi ya aliyokutendea huo ndio ubinadamu
Lalini vile vile ni vizuri kumkumbika mtu ambaye amekusababishia wakati mgumu(hakukutendea wema) ni vizuri kumkumbuka si kwa kulipa kisasi ila kwa kumuepuka na kujiepusha na matatizo mengine zaidi lakini pia kwa kuwajua watu wa aina hii na kuwaepuka wote kwa ujumla ila kikubwa ni KUMSAMEHE
Na kubwa zaidi ni kumkumbuka mtu amabaye alikuacha /kukimbia wakati unamwihitaji na ukijua kabisa kuwa unamwitaji, huyu ni mtu wa kumkumbuka zaidi ili iwe funzo kwako kujitoa kwa wengine wanao kuhitaji wewe ili usiwaumize kama ulivyoumia wewe, YANGU NI HAYO TU, HAVE A NICE TIME

No comments:

Post a Comment