Thursday, May 16, 2013

KWA TUNAO MKUBALI JULIE GICHURU

Julie Gathoni Sumira au unaweza ukamuita  Mrs Gichuru Akiwa na Mumewe)
Pamoja na kuwa mke, amebarikiwa kuwa mama wa watoto  wanne watatu wakiwa wa kiume na mmoja ni wa kike
Julie aliwahi kufanya kazi katika kituo kimoja kinachojulikana kama CAPITAL FM kabla ya kuhamia katika kituo cha Television cha Kenya Television Network ambapo kwa kipindi hicho alikuwa akifanya  vipindi vya habari za uchunguzi juu ya  Rushwa, mambo ya uhalifu na kutokuwepo kwa usawa nchini Kenya
 kabla  ya kuzunguka mpaka kufikia Royal Media Servirce" Citizen tv"
She is of mixed race with her father’s family is originally from Kashmir and her mother’s family was from Kiambu. Her grandfather was born in Kabete. She lived along Wanyee Road in Dagoretti, Nairobi in her early childhood.[2] Gichuru holds an LLB Law and an MBA from Cardiff Law School University of Wales and Cardiff Business School University of Wales resepctively Cardiff[1]

Career

Julie Gathoni Sumira Gichuru is a Kenyan journalist and News Anchor currently working for Royal Media Services as Group Digital Business Manager and Talk Show Hos
She is a recipient of Martin Luther King Salute to Greatness Award
Vilevile aliwahi kushiriki kwenye mdaharo wa marahisi wa kwanza uliowahi kufanyika Kenya(kabla ya kutawala kwa Uhuru Kenyata)
Hayo ni machache kwa wale tunao mpenda na kuvutiwa na kazi za mwana mama huyu , mrembo, aliye elimika na kujitambua  Julie Gichuru na kumbuka kwam a LIFE IS THE PERFOMANCE NOT REHEARSAL ili kumfikia Julie please perform.

No comments:

Post a Comment