Tuesday, May 21, 2013

IM LOVING JULIANA KANYOMOZI TODAY

  Ni mama wa mtoto mmoja wa kiume anyejulikana  kama Keron Kabugowhose father is Amon Lukwago, a Ugandan businessman. In 2006, she had a temporary romantic relationship with US-based Ugandan boxer Kassim Ouma. habari ndo hiyo
Vilele anajulikana kama mmoja kati ya majaji wa show kubwa inayohusiana na muzoki katika nchi za Africa Mashariki TPF,Tusker projeck fame
 Mbali na hayo ameanza kufahamika zaidi mwanzoni mwa miaka ya 90 Juliana  Kutokana kazi yake nzuri na umahuri wa sauti yake nzuri juu ya muziki  pia alikuwa  kwenye kundi la Vive la Vie was a popular record on Ugandan radio stations at that time. After the duo disbanded,
Juliana launched a solo career that has included the release of such popular songs as:
  • Say Yes
  • Nabikoowa
  • Nkulinze
  • My heart
  • Diana (originally released by the late Philly Lutaaya)
  • Alive again
  • All I wanna know
  • Seven days
  • Usiende mbali
  • Libe'esanyu
  • Kanyimbe
  • Malaika Wange
  • My Heart
Juliana Kanyomozi is a cousin to King Oyo, the reigning Omukama of Toro, in Western Uganda. Juliana's father and King Oyo's father were biological brothers.

Na hizi na baadhi ya tuzo ambazo aliwahi kujishindia kutokana na kazi yake ya Muziki

  • 2004 Pearl of Africa Music Awards - Best R&B Artists 
  • 2005 Pearl of Africa Music Awards - Best R&B Artists & Best Female Artist & Song of the Year ("Mama Mbiire" with Bobi Wine) & Best R&B Single ("Nabikowa")
  • 2006 Pearl of Africa Music Awards - best rnb artist/group
  • 2006 Tanzania Music Awards - best Ugandan song ("mama mbire")
  • 2007 Pearl of Africa Music Awards - Best R&B Artiste/Group
  • 2008 Pearl of Africa Music Awards - Artist of the Year & Best R&B Artiste/Group & Best Female Artist
  • 2010 Tanzania music awards - Best East African Song ("Haturudi Nyuma" with Kidum)
  • 2010 Diva awards Uganda - best RNB artist-"kantambule naawe"
  • 2011 East African music awards - best female artist-"alive again"
  • 2011 diva music awards Uganda - afrobeat diva-"sanyu lyange"
  • 2012 S.A Hipipo Charts Female Artist
  • 2012 Best Hipipo Charts video Act (Sanyu lyange)
  • 2012 Best Hipipo Charts Afro-Beat (Sanyu lyange)
  • 2012 Best International afrobeats act at BEFFTA Awards (U.K)
  • 2012 Most Gifted artist- Super talent awards Uganda
  • 2012 Best Female Artist EastAfrica- Kora Awards { I am Ugandan}
  • 2013 Warid Women of substance- entertainment award

No comments:

Post a Comment