Sunday, February 12, 2012

ZAMBIA SHANGILIA USHINDI UNAKUJA

Yaitwa shangilia ushindi unakuja!

Timu ya taifa ya soka ya ZAMBIA imekua BINGWA WA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA 2012, ushindi ambao umepatikana kwa penat dhidi ya Ivory Coast. kulikua na uwezekano mkubwa wa Ivory Coast kushinda baada ya Didier Drogba kukosa penati iliyotolewa kabla ya dakika 90 kumalizika.

Wachezaji wa Zambia wakiwa wamembeba kocha wao.

No comments:

Post a Comment