Wednesday, February 8, 2012

INGIZO JIPYA MWAKA 2012 HILI HAPA

Mwaka jana ilikuwa colour blocking ikatamba saaana watu waka block colour mbalimbali ikiwemo, viatu, nguo na kadharika mwaka huu sasa''mhmmmm'.....Have you ever thought about Blocking your makeup? ni hatari kufanya jaribio usoni mwako lakini hilo ndo ingizo mwenzanu laitwa MAKE UP BLOCKING, angalia baadhi ya picha za ingizo hili


Angalia macho

ameblock , nyusi, lipstick and  na eyeshadow

angalia macho



lips

lips

No comments:

Post a Comment