Tuesday, November 1, 2011

NILIZALIWA NIKIWA MTOTO WA KAWAIDA KABISA - PAW PAW

Nilizaliwa mwanzoni mwa mwaka 80 ya tarehe 20 February, nikiwa mtoto wa kawaida kabisa nilipozaliwa, siwezi kusema lini hasa niliacha kukuwa kama binadamu wa kawaida ila nilijikuta tayari nimesha kuwa hivi nilivyo na siwezi kumuuliza wala kumlaumu Muumba zaidi na kuelelea na shughulizangu ili kuwa Bora zaidi maishani.

No comments:

Post a Comment