Tuesday, November 1, 2011

DRESS CODE KUELEKEA MIAKA HAMSINI YA UHURU

Miwani ambayo ilivaliwa sana miaka ya 60, amabapo sasa imerudi na inavaliwa sana

Stocking nazo zilitamba kwa sana enzi za mabibi zetu na sasa ndo kama balaa, kumbe vyote hivi vimerudi tena

60s Swaga....umeona eeh!!!

No comments:

Post a Comment