Monday, October 3, 2011

SPEECH LESS!!.....................

Anajiita Bilali Mashauzi

Sijui ni sawa nikisema "mwanaume kazi" ati anasasambua kwenye kitchen part?

Khalid Bakota huyu

Yeah," mwanaume kazi"

Aunt Suzzy

Aunt suzzy, yeye anaisikitikia alivyo anaona ameharibikiwa na yupo mtu mtu tu, hawezi kuoa, hawezi kuzaa

3 comments:

  1. umeamua kutuletea hawa wakina mama tunashukuru kwa hilo,,lakini naona umechoka watu kama sisi kutembelea blog yako

    ReplyDelete
  2. Jamani MUNGU atuhurumie

    ReplyDelete
  3. jamani hadi yeye mwenyewe ameandika speechless haimaanishi ameyapenda hayo...mungu atusalimu salama na watu kama hawa...

    ReplyDelete