Monday, October 3, 2011

MJUKUU MWENGINE WA BIG BROTHER ANAKUJA SOON

Quinn and Jennipher
Hawa walikuwa washiriki wa Big Brother Africa mwaka 2009, na wao pia wamefuata njia ya Elizabeth Gupta na Kelvine Chuang' hivyo wanakaribia kupapa mtoto wao wa kwanza soon
Bibie Jennipher alianza mahusiano ya kimapenzi na Quinn mara tu baada ya kutoka kwenye jumba la big brother 2009, na akaamua kuhama nchini mwao Mozambique na kuamia South Africa kwa mpenzi wake Quinn.So big brother anatarajia kupata mjukuu mwengine soon.

No comments:

Post a Comment