Thursday, May 24, 2012

MAMA NI KILA KITU KWA MTOTO

Mama ni kila kitu kwa mtoto,watoto tusijisahau jamani
Ijapokua mtoto ni furaha ya mama pia
Hii haijarishi ni kwa hali yoyote ile, mama ni mama tu
Mungu awajaze furaha
Wamama wote wa Afrika na Duniakwa ujumla

No comments:

Post a Comment