![]() |
| Baadhi ya maeneo ya jiji leo yanaonekana hivi kutokana na mvua zinazo endelea kunyesha |
![]() |
| Na hii inagusa watu wote wenye magari ha hata watembea kwa miguu |
![]() |
| Ikiendele hivi kwa siku mbili zaidi mh! |
![]() |
| wahudumu walitupia kipwani zaidi, Chezea wao! |
![]() |
| hii ilikuwa sehemu maalum ya kupiga picha, ukiingia tu unapata picha |
![]() |
| unadhani natweet? |
![]() |
| wasanii walipata tuzo za heshima kutoka steps entertainment |
![]() |
| Michael Jackson alikumbukwa kwa upande wa burudani |
![]() |
| Huyu ni mjama anayeonekana kwa nadra sana nimeambiwa pia ikionekana anaoneka kwa sababu fulani. |
![]() |
| Nilikua namuogopa balaa, huyo baba alikuja nae ofcn kwetu kwa ajili ya habari anasema amemkuta kwenye bustani nyumbani kwake, yaan hata amuogopi |