mambo yalikuwa hivi kwenye upande wa burudani
![]() |
wahudumu walitupia kipwani zaidi, Chezea wao! |
![]() |
hii ilikuwa sehemu maalum ya kupiga picha, ukiingia tu unapata picha |
![]() |
unadhani natweet? |
![]() |
wasanii walipata tuzo za heshima kutoka steps entertainment |
![]() |
Michael Jackson alikumbukwa kwa upande wa burudani |
Poa ni hayo tu wajameni
No comments:
Post a Comment