Tuesday, June 28, 2011

NGOJA LEO NIKUPE TOFAUTI NDOGO KATI YA KABILA LANGU LA KIMASAI NA MAKABILA YANAYOFANANA NA WAMASAI

Hawa ni wamasai Original wa Tanzania- Arusha

Hawa ni wa Hadzabe nao pia wanapatikana Arusha,hawa sasa asili yao kama kina Makirikiri na huvalia ngozi zaidi na shanga

Hawa ni wa Barabaig  na wenyewe wanapatikana Arusha

Hawa ni wa Karamajong ni jamii ya wafugaji na wanapatikana Uganda zaidi, Tofauti yao ni Shanga wavaazo, Heleni, na migolole yao

Hawa ni wa Samburu Tokea kenya lakini ni Masai vition two, Hata lugha wanasikilizana na masai

Hawa ni Wasandawe nao pia Arusha

Hawa ni wa tegota maarufu kama Mang'ati wanapatikana Arusha , hawa wasandawe na wahdzabe ni ile jamii ya wanaokaa chini kwenye handaki ndio maisha yao yalivyo, usichezeee hawa ni hatari.
                                          KAMA UMEIPENDA TUTAENDELEA

No comments:

Post a Comment