Siku zako zote za maisha yako, katika hali ya furaha na Huzuni mkumbuke aliye kukumbuka na kukusaidia wakati amabao ulikata tamaa, uliumwa, ulifirisika, (uliokuwa mgumu) maana huyo ndio ndugu na rafiki yako wa kweli kati ya ulionao, na inakubidi umkumbuke ili uweze kutenda sawa sawa na zaidi ya aliyokutendea huo ndio ubinadamu
Lalini vile vile ni vizuri kumkumbika mtu ambaye amekusababishia wakati mgumu(hakukutendea wema) ni vizuri kumkumbuka si kwa kulipa kisasi ila kwa kumuepuka na kujiepusha na matatizo mengine zaidi lakini pia kwa kuwajua watu wa aina hii na kuwaepuka wote kwa ujumla ila kikubwa ni KUMSAMEHE
Na kubwa zaidi ni kumkumbuka mtu amabaye alikuacha /kukimbia wakati unamwihitaji na ukijua kabisa kuwa unamwitaji, huyu ni mtu wa kumkumbuka zaidi ili iwe funzo kwako kujitoa kwa wengine wanao kuhitaji wewe ili usiwaumize kama ulivyoumia wewe, YANGU NI HAYO TU, HAVE A NICE TIME
The Neosoul- influenced vocalist, born Wendy Kimani in 1986, developed
her talent through singing along with musicians on radio and TV until
her sisters discovered it but then supported her family. They listened
to a lot of music especially because her siblings were all teenagers at
the time and she was 5 or so.
Growing up in Nairobi, The singer not
paying attention to the singing talent, was very adventurous and tried a
whole lot of niches like drawing, acting in plays in school and even
modeling before she finally was pushed back to her main calling, music,
by the best friend who pushed her into singing for her all her favorite
jams during breaks.. But at age 17, Wendy joined French class and part
of her assignments was to translate Celine Dion’s French songs.
While
doing this, she ended up loving her music and learnt most of the songs
on the CD. She spent endless hours isolated in a classroom listening to
the CD learning the different tricks that can be done with her type of
voice.
At her end of year prize giving day at likii hill international
school, she decided for the first time to sing for an audience and she
performed one of the Celine Dion’s songs she had learnt while in class.