Monday, July 11, 2011

SOUL PRETTY

My Soul Is...

 

  •    My Soul is a Mother

  •     My Soul is Passionate

  •    My Soul is Creative

  • My Soul is Driven

  • My Soul is Curious

  • My Soul is Loving

  • My Soul is Free

  • My Soul is Pretty, SOUL PRETTY.

EPIC NATION YA ZANTEL ILIVYOBAMBA



Epic nation ilibamba kinoma noma

Anasisinzi akikuwaza eti!

MH NAPE NNAUYE ALIPITA OFCN KWETU

The power jams presenters( Anna Peter na Sam wa Misago ) wakibadilishana mawazo ma Mh Nape

Dominic Nyaripha nae Alipata Nafasi ya Kuzungumza na Mh Nape

Mh Cjui anataka Ku edit!! natania

CHEZEA YANGA WEWE EEEH!

Doli doli samwela, kwa simba

Haiitaji maelezi hii

Mashabiki wa Simba poleeeeeeeeee, maana mi Taifa Stars.

KIMWANA MANYWELE WA TWANGA NI HUYU HAPA

Mary Khamisi ndiye mshindi wa kimwana kwa mwaka 2011/2012

Tatu bora ndo hii hapa

Waliofanikiwa kuingia Top 5 Mpaka akapatikana mwana dada Mary

Monday, July 4, 2011

REST IN PEACE FRIEND

Charity Tunda, Tulikupenda lakini mungu amekupenda  zaidi yetu.  
                                                  
Pole kwa ndugu , jamaa na marafiki wote wa Charity wakiwemo kaka zake, Tunda Man na Richard Ramadhani Tunda.

Friday, July 1, 2011

CINDY SANYU AJIFUNGUA

                                             CINDY SANYU

 
Artist toka Uganda,Cinderella Sanyu aka Cindy na 'mtu wake' Mario Brunette kwa sasa wako kwenye furaha baada ya kupata mtoto wa kike aka baby girl
Cibdy ameungana na wasanii toka kundi la Blu3,Mya na Lillian waliopata watoto na Cindy alitupia kwenye mtandao wa Facebook... "Thanks be to God, my baby girl finally arrived"