![]() |
| Mzigo ndo huo tena |
Wednesday, August 10, 2011
Tuesday, August 9, 2011
UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUNI ...........
HA HA HA UKISIKIA HABARI HII KWA HARAKA UTASHAANGAA NA KUJIULIZA SANA KAMA MIMI, KISIKIA BLOCK 41 KUNA MAMBA.
REST IN PEACE SAM LOCO EFE
![]() | |
| Habari za huzuni na za kushtua zimelikumba soko la burudani ya filamu nchini Nigeria na Afrika kwa ujumla baada ya kuondokewa na mtu muhimu na anayekubalika kwa kazi zake katika Tasnia ya Uigizaji. |
MUNGU AILAZE ROHO YA SAM LOCO EFE MAHARI PEMA PEPONI , AMINA
OUR BROTHER AAMUA KUMEREMETA NA KIPENZI CHAKE
Monday, August 1, 2011
THE ROYAL WEDDING
UTAKUBALIANA NA MIMI KUWA MTOTO NI MKWELI KWA KILA TUKIO KWAKE
| Anapofurahi, huwa na furaha ya kweli toka moyoni na wakati mwengine huwa anaamua kufurahi mwenyewe tu mpaka ma wewe inatokea unafurahi,tofauti na sisi watu wazima. |
![]() |
| Akilia analia kweli na umemuuzi kweli au kuna kitu anachohitaji unamzuia kukipata/kukifikia,sio sisi watu wazima wakati mweninge tunalia ili watu wapate kuhadithia kwamba umelia. |
![]() |
| Akikasirika mtoto anakasirika kweli wala haigizi unaweza ukaliona hili kwa uso wake tu, sio sisi watu wazima huwa tunatabia ya kujiandaa kukasirika yaani unaitafuta sababu mapemaaaa ili ukasirike. |
![]() |
| Ku-bore-ka kupo hata kwa watoto, nadhani sehemu hii ndo huwa labda tunafanana kwa kweli. I WISH MIMI, WEWE, YULE TUNGEKUWA WAKWELI KAMA WATOTO. |
Subscribe to:
Posts (Atom)














