Tuesday, July 19, 2011

WIZ KHALIFA GOES 'down there'

Umeona eeeh

Amba tattoo kwenye dole gumba

Cam baby

ONA MAMA ALICHOFANYA KWA MWANAE


Mwanamke mmoja mwenye  umri wa  29, Grace Jacob pichani ameshitakiwa kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi mtoto wake mwenye umri wa miaka 10 Emmanuel.

Monday, July 18, 2011

HAPPY BIRTHDAY MADIBA

Hii ni pic ya mwaka jana alipokuwa anaadhimasha siku yake ya kuzaliwa pia

Happy birthday Naelson Madiba Mandela

Friday, July 15, 2011

BIG BROTHER LADIES HAWA

Comfidence- Huyu dada ni mtu mzima lakini ni mwehu tu kwa kweli na hata Ghana walijiuliza kama ataweza kuiwakirisha nchi yake vizuri maana  lakini alifanikiwa kwa namna moja ama nyengine  lakini kiukweli mwehu ni mwehu tu.

Habari ndo hiyo

Karen - huyu ni mjasilia mali kabisa maana hamna cha zaidi cha kuzungumzia hapa.

Umeona eeeh!

Weza- Huyu ni model na hata picha hii aliipiga akiwa katika mambo yake ya kikazi ( usiogope )

Thursday, July 14, 2011

BECCA & 2FACE NA KITU KIPYA "BAD MAN BAD GIRL"

Becca mzigoni

Nice pic

Bad man and Bad Girl hawa...........


Becca ni Super Star wa Nchini Ghana ameamua kushirikiana na Super Star wa Nigeria 2face Idibia katika track yake mpya  " BAD MAN BAD GIRL"  Video ya track hii mpya inarecordiwa Nchini Ghana hivi sasa  so kaa tayari kwa burudani kali.

KIM KARADASHIAN NA KIVAZI CHA ENZI ZA MWALIMU

Na hii gari ndo kama 50s iliyopita vile

Ameonekana vyema hapa.......


Kim ameonekana na vazi hilo wakati wa Ku film  muonekano wa Perfum yake mpya.

Wednesday, July 13, 2011

TUJIKUMBUSHE KIDOGO

Days of our lives-cast


Cast

Demeras family

Kayla and Steve

Sammy and Lucas

Ilitokea kupendwa sana kama ambavyo zinapendwa Tamthilia za kiphilipino hivi sasa, Nakumbuka tulikua tukiangalia kupiatia C T N na Chanel Ten, alafu sijui ikawaje tena...........nimeiona juzi kupitia E tellevission ya South Africa Nikawakumbuka sana watu hawa.