Monday, June 13, 2011

RECORD MPYA DUNIANI HII HAPA


Huyu bwana anaitwa JUNRAY BARAWING kutoka UFILIPINO ambaye jana alitawazwa na wataalamu wa kile kitabu cha kuweka kumbukumbu za maajabu Duniani cha 'GUINNESS' kwamba kwasasa ndie mtu mfupi kuliko watu wooote wanaoishi Duniani kwasasa akiwa na urefu wa inchi 23 yaani cm 58 akiwa amepungua inchi 3 zaidi ya alikuwa akishikilia Record hiyo KAGHENDRA MAGAR kutoka Nepal! JUNRAY ametimiza miaka 18 juzi na kumfanya atambulike kama mtu mzima kwa sasa na ndipo Chief Editor wa 'GUINNESS' bwana CRAIG GRENDAY alipolazimika kutumia masaa 24 kumpima JUNRAY ili kujua kimo chake kamili kabla ya kumtawaza 'RASMI' kama mtu mfupi kuliko wooote Duniani alie hai kwasasa...

KIUKWELI WATU WANAO NIVUTIA TOKA BIG BROTHER MWAKA HUU NI......



Weza

Age 26
Hometown Luanda
Occupation TV Presenter, Model
Biography She is super social and likes spending time with happy, fun, straight forward people, although she admits her bad habit is that she talks too much. She is currently single, and says she will miss her family when she goes into the House. Her favourite place in Angola is Luanda.



Lomwe

Age 27
Hometown Blantyre
Occupation Radio and Club DJ
Biography Lomwe, reckons he is handsome and lives like according to the following mantra: "ride till the wheels fall off". He hopes his charisma and great sense of humour will help him win the USD200 000, so he can open his own radio station at home in Malawi.

VICHWA VYANGU VITANO VYA MOVIES NAZOZIPENDA


                                                 Idris Elba kama ulishawahi ona Same times
                                                 On April  huyu ndo alikuwa muhusika mkuu.

                                        Huyu jamaa ni Comedian mzuri ukimuangalia tu unacheka
                                           kabla hajaongea , anayulikana kama Chriss Rock.

                                                 Sasa katika watu woote hawa, Hiki ndo kichwa
                                              chenyewe, Huyu jamaa ni Actor, Director, Producer na
                                             mambo mengine mengi yanayohusu Tasnia hii
                                               anaitwa TYLE PERRY
                                               

                                        Sanaa nayo ni Wito kama si uzalendo, Mambo ya kukaa
                                                Uchi mbele zawatu inataka moyo.


                                     Martin Lawrence, huyu hana hata haja ya
                                        kumuelezea kwa kweli, ha ha ha

Thursday, June 9, 2011

WANAOKONGA MOYO WANGU KIMUZIKI NI.....

                                              Tukianzia Nyumbani  ni GRACE  MATATA anafanya
                                                    kazi nzuri sana na ni vyema tuikubali tu.

                                                
                                               Ty Bello mdada toka Naigeria kiukweli anafanya kazi
                                               nzuri na zenye kueleweka , kwa sasa anamzigo mpya
                                              unaoitwa The Future..we acha tu

                                            Huyu bwana hata si elewi ni mapenzi yangu binafsi
                                              ama ni kitu gani, ninachojua kwamba nampenda
                                                        yeye na kazi yake kwa ujumla

                                         Huyu sasa kimuonekano tu, anafanana na Grace Matata lakini
                                        kama ni msikiliazaji mzuri wa nyimbo za watu hawa wawili ( Grace & Asa)
                                              Wako kwenye viwango vinavyo fanana ambapo ni kitu kizuri pia

KARIBU NYUMBANI BHOKE

Mwana dada akipiga intervier na Dominic Nyalifa wa Enews na Afrobeat   



Josee a.k.a baba MICHELLE na  bi dada  BHOKE

                                          Mama na Mwana  Jamani.....


                                           Hallaaa 5 ya nguvu Zamzam  na mgeni wetu

Wednesday, June 8, 2011

5SELEKT EVENTS MBAGALA SEC

My top 5 actress

Gabrielle Union is both an actress and a model. She has starred in 10 Things I Hate About You, Deliver Us From Eva, Daddy's Little Girl, and Bring It On. My favorite is Daddy's Little Girl.

 mkali mwengine ni
Ni mama wa mtoto mmoja na yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamziki maarufu tu Nigerian na Afrika

Tatu ni
Omotola Jalade-Ekeinde has been entertaining countless lives and courting our hearts on screen since the 90’s. With over 250 movies under her toga and still counting, the screensiren isn’t done yet.

Ila huyu ananikuna zaidi ya wote

kiukweli huyu dada anajua nini anafanya katika movies anazofanya , kama haujabahatika kuona kazi yake tafuta movies hizi, DIARY OF MAD BLACK WOMAN na COLORED GIRL na kwa sasa yupo Afrika anapiga mzigo unaoitwa TIE THAT BIND ,Omotola yumo humu pia.

kazi ya huyu si mbaya sana pia

Born: September 11, 1970

Washington, D.C., native Taraji P. Henson didn't always know that her smoldering charisma and beautiful face would make her a professional actress.
 next ...tuta check  upande wa music